Kwani unataka Madjozi ade ama nini Niahiambe aliki Mbona mwataka nasema napenda lakini Yeye haniambii Haweza akashindwa kifungo ata mia mbili Ela hanipigii, hivi nasema itabidi ongee ana mimi Kini hanisikii
Kusubiri mimi kweli sitaweza Unanifeeli, keniwezi kunionyesha Sasa mimi nikihisi unanipenda Hukuniambia na ndio maana nilienda
Hukuniambia, huku hukuniambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Niambia, huku hukunambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Hukuniambia kwamba wewe unanipenda Hukuniambia huku huku Hukuniambia kwamba wewe utaniweza Hukuniambia huku huku
Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku
Sasa ukiniona na watu unakasirika, roho inakunjika Usiku uliniona natembea na arayika Kini hukuniita mpaka nyumbani umenitumia? Aje akipa kini hukunalika Wasa wanasema nionyeshe uacha kutificha Ni lakuni hambiaa
Kusubiri mimi kweli sitaweza Unanifeeli, keniwezi kunionyesha Sasa mimi nikihisi unanipenda Hukuniambia na ndio maana nilienda
Hukuniambia, huku hukuniambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Niambia, huku hukunambia (Huku) Niambia, huku hukunambia Hukuniambia kwamba we unanipenda Hukuniambia huku huku Hukuniambia kwamba wewe utaniweza Hukuniambia huku huku
Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku Huku huku, (Huku) Huku huku, Huku
Sho, Huku huku Huku huku, Huku Aish, Sho
Compositores: Maya Christinah Xichavo Wegerif (Sho Madjozi) (SAMRO), Siyabuela KoomEditor: Sony/ATV Songs LLC (BMI)Administração: Sony Music Publishing LLCECAD verificado obra #30093970 em 05/Mai/2024 com dados da UBEM